![GALILAYA MINISTRY](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMZeDfm5MvoiuWWDacMHE6sfS44JCycuTxFWb40BjY6zdLL0Aqs5u-MX4OSdfQUAJCCuRVUYdqacQua7Yso3bgcRNZ9UYq734I8XQpZh73Ifr5WPxv-cUxyvqVuFFbSjJNH-g2k3uVCOg/s1600/NET.jpg)
GALILAYA MINISTRY (G.M) ni huduma ya kiroho inayojihusisha na kusambaza 1.vitabu vya kiroho 2.Biblia aina zote 3.DVDS,CDS za wahubiri na waimbaji mbalimbali ndani na nje ya Tanzania 4.Huduma za kipesa kama tigo-pesa,M-pesa na Airtel-money Tupo mwananyamala hospitali mkabala na geti kuu la hospitali au Atm benki ya CRDB pembeni mwa Lugoba hotel . Karibu sana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni